Mkurugenzi Mtendaji H/W Kishapu anawatangazia watumishi wote kuwa ratiba ya ufanyaji mazoezi kwa wiki itakuwa ni kila siku ya Jumanne na Jumatano muda wa saa 10:00 jioni katika uwanja wa shule ya sekondari Kishapu. Watumishi wote mnaangizwa kuhudhuria mazoezi hayo bila kukosa.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa