Kuratibu shughuli za uchaguzi zikiwemo uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Uchaguzi Mkuu na chaguzi ndogo zote zitakazo jitokeza baada ya uchaguzi kufanyika).
Kuratibu uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Uchaguzi Mkuu na orodha ya wapiga kura kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kuratibu masuala yote muhimu ya kuwezesha michakato ya uchaguzi.
Kumshauri Mkurugenzi masuala yote yahusuyo uchaguzi katika ngazi ya Halmashauri ili kuwezesha mazoezi hayo kufanyika kwa mujibu wa sheria