• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii

Fedha

Idara ya Fedha inasimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha katika Halmashauri na kutoa ushauri wa namna bora ya matumizi ya fedha.

Katika kusimamia huko inahakikisha kunakuwa na mfumo thabiti wa udhibiti wa ndani ambao pamoja na kuzingatia masuala ya kiutendaji pia unalenga katika kuangazia taratibu nzima za kifedha za Halmashauri.

Pia ina kazi ya kuwasilisha taratibu za kifedha kwenye kamati ya fedha kwa ajili ya mapitio kuhakikisha kunakuwa na udhibiti wa kutosha wa mali za Halmashauri pamoja na fedha, hii ikiwa ni kuwa na mpango kazi mzuri wa wafanyakazi na utawala ndani ya idara.

Shughuli

Kuandaa malipo yote

Kuandaa Bajeti ya matumizi ya kawaida,

Kuhakikisha uwepo wa nyaraka zote za malipo kabla na baada ya kulipa, kuhakikisha taratibu na sheria za kifedha zinatekelezwa,

Kuhakikisha kuwepo na majalada ya kumbukumbu kwa malipo yaliyolipwa,

Kufanya usaili wa kimahesabu kati ya benki na vitabu vya kumbukumbu vya halmashauri.

Kuandaa taarifa za fedha na kuziwasilisha sehemu husika kwa wakati.

Kuhakikisha inakusanya mapato yote ya halmashauri,

Kuhakikisha kuna udhibiti mzuri wa mapato ya Halmashauri,

Kupeleka fedha taslimu na hundi benki

Kuandaa ripoti mbalimbali na kuziwasilisha sehemu husika, (v)Kuweka utaratibu rahisi wa malipo ya fedha taslimu kwa wateja,

Kubuni vyanzo vipya vya mapato,

Kuandaa orodha ya watumishi kwa ajili ya kulipwa mishahara

Kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara na kutunza kumbukumbu za makato yakatwayo watumishi kwenye mishahara yao

Kuandaa bajeti ya mishahara kwa watumishi

Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara na kupeleka sehemu husika

Kushughulikia matatizo yote ya mishahara inayotokea kwa watumishi

Matangazo

  • Tangazo la kazi kada ya Afya December 12, 2018
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili nafasi ya watendaji May 10, 2018
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali Kusherekea Siku ya Wanawake Duniani

    March 08, 2021
  • Bilioni 2.8 Kumtua Mama Ndoo Kichwani Kishapu

    March 03, 2021
  • TCRS yatoa taarifa ya Upembuzi ya Ufuatiliaji Rasilimali za Umma (PETS) katika Sekta ya Maji.

    February 25, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kupitisha Bajeti ya zaidi ya Bilioni 39

    February 24, 2021
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa