Imegawanyika katika sekta mbili (2) ambazo ni sekta ya ardhi na sekta ya maliasili.
Idara ya ardhi na maliasili ina jumla ya watumishi kumi na nne (14) wa kada mbalimbali kati ya hao watumishi saba (7) ni wa sekta ya Ardhi na watumishi sita (6) ni wa sekta ya maliasili na mtumishi mmoja (1) ni mkuu wa idara.
Majukumu ya idara ya ardhi na maliasili kwa kuzingatia sehemu ya uthamini, mipango miji, upimaji na ramani, ardhi utawala na usimamizi, misitu na wanyamapori ni kama ifuatavyo:
Sehemu ya Uthamini
Majukumu ya mthamini ni:
Sehemu ya Mipango miji
Majukumu ya Afisa mipango miji ni:
Sehemu ya Upimaji na Ramani.
Upimaji na ramani ni miongoni mwa vitengo vingine vya ardhi kama vile, utawala na usajili ardhi, uthamini pamoja mipango miji kitengo hiki kina majukumu mbalimbali ndani jamii katika kutoa huduma zake.
Majukumu ni kama vile upimaji wa viwanja, upimaji mashamba, kuonyesha mipaka ya viwanja na mashamba, kutatua mogogoro ya ardhi, kutoa elimu ya ardhi kwa wananchi.
Sehemu ya Ardhi Utawala na Usimamizi.
Majukumu ya Afisa Ardhi ni kama ifuatavyo:
Sehemu ya misitu
Majukumu ya afisa misitu ni kama ifuatavyo:
Sehemu ya wanyamapori
Majukumu ya afisa wanyamapori ni:
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa