• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Social Services
    • Huduma za Kiuchumi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
  • Miradi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti
      • Mpango Mkakati
    • Fomu za matangazo
    • Sheria
    • Hotuba
    • Tenda
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Albamu ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Makala
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

Mvua kubwa ya upepo yaezua mapaa ya nyumba vijijini

Posted on: December 16th, 2017

Mvua kubwa ya upepo mkali imesababisha maafa katika vijiji vya Ukenyenge na Negezi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambapo imeezua paa za nyumba 37 pamoja na majengo Serikali.

Tukio hilo lilitokea saa 12 jioni Desemba 15 ambapo majengo yaliyopatwa na maafa hayo ni ya pamoja na ofisi ya tarafa ya Negezi, ofisi ya afisa kilimo, ofisi ya TCRS.

Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Sahadrack Kengese alitembelea eneo hilo yalipotokea maafa akiwa amembatana na wataalamu kutoka halmashauri kwa ajili ya kufanya tathimini ya tukio hilo.

Mratibu wa Maafa Wilaya, Ponsian Kuhabwa na Mwesiga Katunzi kutoka Idara ya Ujenzi waliungana na viongozi wa tarafa na kata na kufanya tathimini hiyo ambapo bado hasara iliyotokea haijafahamika.

Kwa mujibu wa maelezo ya Afisa Tarafa, David Isanga mara baada ya tukio hilo uongozi wa tarafa na kata ulishirikiana na wananchi kuhakikisha wanawasaidia wenzao walioathirika ili kurudisha hali.

Tathimini inaonesha kuwa hali ya maafa sio ya kutisha na ipo katika uwezo wa jamii kusaidiana na kuwa katika jengo la tarafa inaonyesha mahitaji mbalimbali ili kulirudisha katika matumizi.

Alisema hatua zinazotakiwa kuchukuliwa ni pamoja na ukarabati kufanyika haraka ili watumishi wapate sehemu za kufanyia kazi kwani sasa hivi wanabanana katika vyumba viwili vilivyosalimika.

Katibu tawala huyo aliiomba jamii iwahifadhi waathirika wa maafa hayo ambao wanakosa makazi wakati utaratibu ukiendelea kufanyika ili kurudisha makazi yao kama ilivyokuwa awali.

Pia aliwataka wananchi kupanda miti na kujenga nyumba imara ambazo zitasitahimili mitikisiko ya matukio kama kwani wengi wao wanajenga nyumba za tope ambazo sio imara.

Kwa upande mwingine aliwataka wananchi kuendelea kutekeleza agizo la mkuu wa wilaya la kupanda miti ili kupunguza kasi ya upepo na kutunza mazingira katika maeneo mbalimbali.

Matangazo

  • Tangazo la ajira jipya March 20, 2018
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2017 January 11, 2018
  • Kuitwa kwenye usaili 29/11/2017 saa 1:00 asubuhi November 23, 2017
  • TANGAZO LA KAZI October 03, 2017
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • Mavazi ya heshima wanafunzi Kishapu yawawakuna RC, DC, wawazawadia

    April 11, 2018
  • Halmashauri ya Kishapu kupanda miti 9000 kila mwaka

    April 10, 2018
  • Dkt Kigwangalla: Asilimia 90 ya miti imejiotea yenyewe

    April 06, 2018
  • Dkt Kigwangalla aagiza mikoa kutenga maeneo ya kuhifadhi misitu

    April 05, 2018
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

Idadi ya wasomaji

MasterThesis

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa