Posted on: November 19th, 2021
Hatua iliyopo ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Isoso kwajili ya kidato cha kwanza January 2022, Kufikia Novemba 30, 2021 ujenzi utakuwa umekamilika kwa asilimia 100....
Posted on: November 11th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe, Joseph Mkude ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwa kutekeleza takwa la kisheria kuvikopesha vikundi vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu shilingi milion...
Posted on: November 5th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Sophia Mjema apiga marufuku kwa wafanya biashara wa vifaa vya ujenzi wanaopandisha bei za vifaa vya ujenzi bila mpangilio ikiwemo Nondo, Saruji na Mabati.
Mku...