Posted on: June 25th, 2020
Shirika la Oxfam kwa kushirikiana na Redeso wamefanya ziara wilayani Kishapu kutembelea miradi ya biashara ya vikundi katika kata ya Shagihilu,Kishapu , Lagana na Inolelo. Ziara hio ya siku mbili ilif...
Posted on: June 17th, 2020
Zoezi la uwekaji wazi Daftari la kudumu la Wapiga Kura Awamu ya pili katika Wilaya ya Kishapu imeanza rasmi leo tarehe 17 June 2020 hadi tarehe 20 June 2020 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na ...
Posted on: June 16th, 2020
Redeso kwa kushirikiana na Oxfam Tanzania leo wamekabidhi msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kujikinga na Covid-19. Msaada huo umetolewa leo tarehe 16 June 2020 katika Kituo cha Afya Kishapu ambacho k...