Posted on: April 20th, 2020
Halmashauri ya wilaya Ya Kishapu mkoani Shinyanga chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeboresha daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili kwa mwaka 2020. Zoezi hili limefanyika kwa siku tatu kuan...
Posted on: April 15th, 2020
Shirika la Relief for Development Society (REDESO) leo April 15, 2020 limefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo kwa wanavikundi katika wilaya ya kishapu mkoani Shinyanga.
Miradi hio inayowezeshwa...
Posted on: April 9th, 2020
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA APIGA MARUFUKU WATOTO KWENDA MINADANI.
Hayo yamejiri leo terehe 09 April 2020 katika ziara ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainabu Terack alipokuwa anafanya tathim...