Posted on: March 18th, 2020
Elimu ya homa kali ya mapafu yazidi kutolewa kwa jamii ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kupitia Timu ya Majanga ya Afya Kishapu imetoa elimu hio ya tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Ma...
Posted on: March 11th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imetoa elimu ya tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Mapafu inayosababishwa na Kirusi aina ya Corona.
Imeelezwa kuwa Shirika l...
Posted on: February 23rd, 2020
Hospitali ya Jakaya Mrisho Kikwete katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imefanya kliniki tembezi ambapo madaktari bingwa kutoka katika hospitali mbalimbali wamejumuika pamoja na madaktat...