Posted on: October 1st, 2018
Agosti 20 mwaka huu wananchi wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga walipata heshima ya kuupokea mwenge ngazi ya kimkoa ukitokea wilayani Maswa mkoani Simiyu.
Ukichagizwa na burudani kutoka katika v...
Posted on: September 20th, 2018
Naibu Waziri Ofisi Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe, Anthony Mavunde amesema vijana wilayani Kishapu watanufaika na kilimo cha mboga mboga kupitia mradi wa kitalu nyumba (green house) unaotara...
Posted on: September 19th, 2018
Serikali imehimiza uchakati na usindikaji wa bidhaa za kilimo ili kuongeza tija, kutoa ajira na kuboresha maisha ya Watanzania.
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira ...