Kitengo cha ugavi kinasimamia manunuzi yote toka idara na vitengo vilivyoko kwenye Halmashauri kitengo hiki kina wataalamu watano ambao wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za manunuzi.
MAJUKUMU
•Kushughulikia shughuli zote za manunuzi yote yanayofanywa na halmashauri.
•Kuandaa nyaraka za na mikataba na zabuni
•Kusaidia majukumu ya Bodi ya zabuni
•Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Zabuni
•Kuandaa na kupitia orodha ya mahitaji
•Kuandaa matangazo ya zabuni
•Kutoa mikataba iliyokwisha kusainiwa
•Kutunza kumbukumbu za manunuzi
•Kutunza orodha au rejesta ya kikataba yote iliyoingiwa
•Kuandaa taarifa ya mwezi ya bodi ya zabuni.
•Kuandaa mpango wa mahitaji
.
Kitengo cha ugavi kinasimamia manunuzi yote toka idara na vitengo vilivyoko kwenye Halmashauri kitengo hiki kina wataalamu wanne ambao wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya manunuzi
MAJUKUMU
•Kushughulikia shughuli zote za manunuzi yote yanayofanywa na halmashauri.
•Kuandaa nyaraka za na mikataba na zabuni
•Kusaidia majukumu ya Bodi ya zabuni
•Kutekeleza maamuzi ya Bodi ya Zabuni
•Kuandaa na kupitia orodha ya mahitaji
•Kuandaa matangazo ya zabuni
•Kutoa mikataba iliyokwisha kusainiwa
•Kutunza kumbukumbu za manunuzi
•Kutunza orodha au rejesta ya kikataba yote iliyoingiwa
•Kuandaa taarifa ya mwezi ya bodi ya zabuni.
•Kuandaa mpango wa mahitaji
.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa