• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utawala
      • Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya jamii
      • Afya
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Tehama
      • Utamaduni, Sanaa na Michezo
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Usafi wa Mazingira na Udhibiti Taka
      • Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Kilimo na Mifugo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa Halmashauri
    • Ratiba ya vikao vya kisheria vya MSM
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Sheria ndogo ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya picha na video za shughuli za maendeleo

Maji

UTANGULIZI.

Vyanzo vikuu vya maji kwa wananchi wa wilaya ya Kishapu ni visima vifupi, virefu, mabwawa na miradi michache ya maji ya bomba. Mahitaji halisi ya maji kwa sasa ni mita za ujazo 15,303 kwa siku.

Kwa kuzingatia lengo la Taifa la kuwafikishia wananchi wa vijiji asilimia 90 maji safi na salama ndani ya umbali wa mita 400 ya makazi yao ifikapo 2020, kwa sasa wakazi wa Wilaya ya Kishapu wananufaika na huduma hii kwa kiwango cha wasani wa asilimia 51.6% vijijini na asilimia 45% mjini.

 

 TAKWIMU ZA MIUNDOMBINU YA MAJI

Halmashauri ya wilaya ya Kishapu kwa kushirikisha wadau wa Maendeleo, Serikali kuu na Wananchi wenyewe imeweza kupunguza tatizo la upatikanaji wa maji na Salama kama ifuatavyo:

Jedwali 58: Takwimu za Miundombinu ya maji

Mwaka

Malambo/Mabwawa

Visima

Skimu ya Maji ya Bomba na windmill

Matanki ya Maji ya Mvua

% ya Wanufaika

Virefu
Vifupi
2013/2014

20

8

245

14

118

49

2014/2015

23

10

248

17

120

50.2

2015/2016

26

12

251

19

125

51.3

2016/2017

28

12

258

20

129

51.4

2017/2018

29

12

263

21

135

51.6

 UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA MAJI KATIKA VIJIJI KUMI (WSDP)

Utekelezaji wa Programu ya Maji na Usafi wa Mazingira katika vijiji 10 ulianza kwa mchakato wa kupata Wataalam Washauri(Consultants) ambao walihusika katika kusaidia kusanifu miradi, kufanya utafiti wa maji ya ardhini na kusimamia kuchimba visima virefu na baadaye kuanza ujenzi wa miundombinu ya maji.

Programu ya maji vijijini awamu ya I ulijenga miradi ya maji katika baadhi ya vijiji kadri fedha ilivyokuwa ikipatikana.  Vijiji vilivyopewa kipaumbele katika ujenzi wa miundombinu ya maji kupitia awamu ya kwanza ya utekelezaji wa Programu hii yaani (WSDPI) vilikuwa vijiji 9 ambavyo ni Nyenze, Iboja, Sekeididi, Mwigumbi, Mwamashimba, Bubinza, Mwamadulu, Idukilo na Bunambiyu. Jumla ya Tsh 3,471,700,912/= zimetumika kutekeleza miradi ya maji awamu ya kwanza kuanzia hatua ya usanifu mpaka ujenzi wa miundombinu ya Maji. Kwa pamoja Miradi hii inahudumia watu wapatao 24,750

Katika Mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2017/2018 Halmshauri iliidhinishiwa kiasi cha Tsh. 1,597,855,000/= kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maji na Usafi wa Mazingira.

Hadi kufikia Mwezi Novemba 2017, Halmashauri imeshapokea jumla Tsh. 26,000,000/= ambazo ni kwa ajili ya usanifu, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi.

Mhe, Naibu Waziri, utekelezaji wa programu ya sekta ya maji awamu ya pili (WSDP II), umeanza katika mwaka huu wa fedha 2017/2018 kwa kuhusisha jumla ya miradi 5 katika vijiji vya Shagihilu, Ndoleleji, Lagana, Ikonongo na Unyanyembe, wakandarasi wako eneo la kazi (site) wakiendelea na ujenzi ambao uko katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Ujenzi huu utagharimu zaidi ya Tsh. 1,500,000,000/=.

Matangazo

  • TANGAZO LA MWALIKO WA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI January 20, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI December 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 21, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • VIKUNDI 21 MAKUNDI MAALUMU VYAPATIWA MIKOPO KISHAPU

    January 29, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI KISHAPU LAAZIMIA SOKO HURIA LA PAMBA, LATOA MSISITIZO WA LISHE NA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 28, 2026
  • DED KISHAPU AKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA KUWAWEZESHA WAALIMU WENYE CHANGAMOTO YA UONI

    January 28, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI KISHAPU LAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA KATA ROBO YA PILI 2025/2026

    January 27, 2026
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa