• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utawala
      • Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya jamii
      • Afya
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Tehama
      • Utamaduni, Sanaa na Michezo
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Usafi wa Mazingira na Udhibiti Taka
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Kilimo na Mifugo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya picha na video za shughuli za maendeleo

AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA KISHAPU AWATAKA MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Posted on: August 19th, 2024

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kishapu Ndugu. Emmanuel Johnson anawaalika Wananchi wote wa Jimbo la Kishapu wenye sifa za  kujiandikisha na kuboresha taarifa katika Daftari la kudumu la Wapiga kura.

Hayo Ameyamebainisha leo tarehe 19 Agosti, 2024 akiwa anafunga Mafunzo ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki (BVR) katika Ukumbi wa Mikutano wa Stage 2

"Nichukue nafasi hii kuwaalika na kutoa Rai kwa Wananchi wa Jimbo la Kishapu wenye Sifa za Kijiandikisha na kuboresha taarifa zao wenye Umri wa miaka 18 na zaidi na wale watakao fikisha Umri wa Miaka 18 Mwakani" Amesema Johnson

Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki (BVR) yamefungwa leo yakiwa na jumla ya Vijana 648 watakao fanya kazi katika Vituo 324 vya kuandikishia wapiga kura

Kwa upande wake Mkufunzi wa Mafunzo Bw. Lupatiko Lutavi amesema kwamba Waandikishaji wasaidi pamoja na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki wamepatiwa mafunzo ya Siku mbili ambayo yamewajengea uwezo mkubwa ambao utawasaidia kufanya kazi kwa ufanisi katika vituo vyao

Naye Mwandishi msaidizi Bi, Vestina Robart kutoka kata ya Itilima amekili kuelewa kwa haraka mafunzo kutoka na mafunzo ya siku mbili waliopewa na kuahidi kwenda kuchapa kazi kwa Uzalendo Mkubwa katika Vituo walivyopangiwa

Aidha Pia Afisa Mwandikishaji Jimbo la Kishapu amewataka Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kwenda kutumia kwa weledi mkubwa mafunzo waliyopata pamoja na kutumia lugha nzuri kwa Wananchi wanaowahudumia pamoja na kutoa Ushirikiano mkubwa kwa Mawakala wa wa Vyama vya Siasa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI December 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 21, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • RC MHITA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KISHAPU.

    January 10, 2026
  • RC MHITA AWATAKA MADIWANI KISHAPU KUDUMISHA USHIRIKIANO NA MSHIKAMANO - NGUZO KUFANIKISHA MIPANGO YA MAENDELEO.

    December 19, 2025
  • DED JOHNSON ATOA MAELEKEZO MUHIMU KWA MADEREVA

    December 19, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WAMTEUA MWENYEKITI MPYA HALMASHAURI YA WILAYA KISHAPU

    December 03, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa