• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Nyaraka
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022
    • Matangazo
    • Sheria ndogo ya ushuru wa huduma
    • Mifumo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
      • Uvuvi wa Samaki katika Bwawa la Songwa, Bwawa mhumbu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Mhe. William Luhende Jijimya - Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Francis Manyanda - Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Joel Ndettoson - Diwani kata ya Kishapu
      • Mhe. Mohamed Aman - Diwani kata ya Ndoleleji
      • Mhe. Lucas Nkende - Diwani kata ya Mwamashele
      • Mhe. Pontias Daud - Diwani kata ya Mwataga
      • Mhe. James Kasomi - Diwani kata ya Bubiki
      • Mhe. Bushi Mpina - Diwani kata ya Mwamalasa
      • Mhe. Nyama Kisinza - Diwani kata ya Somagedi
      • Mhe. Mashini W. Washima - Diwani kata ya Uchunga
      • Mhe. Anderson Mandia - Diwani kata ya Ukenyenge
      • Mhe. Edward Manyama - Diwani kata ya Kiloleli
      • Mhe. Reuben Siyabo - Diwani kata ya Bupigi
      • Mhe. Bujiku Nyanda - Diwani kata ya Mwaweja
      • Mhe. Michael Paul - Diwani kata ya Shagihilu
      • Mhe. Luhende S. Luhende - Diwani kata ya Lagana
      • Mhe. Richard Dominico - Diwani kata ya Talaga
      • Mhe. James Kamuga - Diwani kata ya Igaga
      • Mhe. Lameck Nsubata - Diwani kata ya Itilima
      • Mhe. Mpemba Malangahe - Diwani kata ya Bunambiyu
      • Mhe. Makenzi Charles - Diwani kata ya Busangwa
      • Mhe. Nestory Kalugula - Diwani kata ya Ngofila
      • Mhe. Lwinzi Kidiga - Diwani kata ya Maganzo
      • Mhe. Samson Gelewa - Diwani kata ya Mwasubi
      • Mhe. Sarah Marco - Diwani kata ya Idukilo
      • Mhe. Enock Bundala - Diwani kata ya Masanga
      • Mhe. Thabidha Mmbando - Diwani kata ya Mwakipoya
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri
  • miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Kituo Cha Habari
    • maktaba ya picha
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa za Vyombo vya Habari
  • Maeneo
    • Kata
      • Orodha ya Kata
    • Tarafa
      • Orodha ya Tarafa
    • Vijiji
      • Orodha ya Vijiji

DC MASINDI ATAKA WAUGUZI KISHAPU WAFANYE KAZI KWA NIDHAMU NA UPENDO

Posted on: May 31st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Peter Masindi, amewataka wauguzi na wakunga Wilayani humo kufanya kazi kwa mshikamano, upendo, kuheshimiana, kuheshimu muda wa kazi, na kuwathamini wateja wao, akisisitiza kuwa wananchi hao ndio sababu ya wao kuwepo katika nafasi hizo.

Mhe. Masindi ametoa wito huo Mei 30,2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani ngazi ya Wilaya yaliyofanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Rufaa ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndie mgeni rasmi.

Katika hotuba yake Mkuu huyo wa Wilaya amekemea vikali tabia ya baadhi ya wauguzi kutumia simu zao wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa, akisema hali hiyo huwavunja moyo wagonjwa na kuwafanya wajisikie kutopewa thamani.

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe.Peter Masindi na mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Wilayani Humo Mei 30,2025 yaliyofanyika ukumbu wa hospitali ya Dr.Jakaya Mrisho Kikwete

“Tutumie muda wa kazi kuwahudumia wagonjwa kwa moyo wote. Simu zisizo na tija kazini ni kikwazo kwa utoaji huduma bora,” amesisitiza Mhe. Masindi.

Aidha, ameonya tabia ya wagonjwa wenye bima za afya kukosa dawa kwenye dirisha la dawa na kulazimika kununua dawa hizo kwenye maduka ya hospitali huku akiwataka wauguzi kujiepusha na vitendo vya dhuluma kwa akina mama wajawazito, akisema hayo ni kinyume na maadili, kanuni na sheria za serikali.

“Halmashauri iko macho na Wilaya yote na vitengo vyake viko macho hivyo Mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake bila kujari cheo na heshima yake aliyonayo”, amesema Mhe. Masindi.

Mkuu wa wauguzi Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Dno.Mariam Ndahani akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi Wilaya hiyo Mei 30,2025 yaliyofanyika ukumbi wa hospitali ya Dr.Jakaya Mrisho kikwete yaliyoambatana na maandamano na utoaji zawadi kwa wagonjwa wa wodi zote huku Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Peter Masindi akiwa ndiye mgeni rasmi.

Amewataka wauguzi kufanya vikao vya mara kwa mara ili kukumbushana kuhusu maadili na nidhamu kazini, akiongeza kuwa ni aibu kwa muuguzi kusimamishwa kazi au kufukuzwa kwa sababu ya uzembe au kupokea rushwa muendelee kudai haki zetu kwa njia halali, si kwa kuiba haki za wengine,” ameongeza.

Akiwahimiza wauguzi kutimiza majukumu yao kwa moyo wa huruma, Mhe. Masindi amesema: “Afya za wananchi zipo mikononi mwao wanapofanya kazi wakumbuke kiapo cha kazi yao, hasa katika kuokoa afya za kina mama na mtoto.”

Pia amewapongeza wauguzi kwa kazi kubwa wanayoifanya, akiwakumbusha kuwa wao ni watu wa kwanza kuwashika watoto wote wanaozaliwa duniani akitoa mfano wa injili amesema ilienezwa na watu12 tu wao ni zaidi yao wasikate tamaa kwa sababu ya uchache weo waendelee kufanya kazi kwa bidii na moyo wa kujitolea.

Kwa upande wake, Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Bw. Fadhiri Mvanga, amewapongeza wauguzi kwa moyo wa utu, uzalendo, upendo na uvumilivu waliouonyesha hasa wakati wa milipuko ya magonjwa kama kipindupindu amesema wauguzi hao wamekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma kwa jamii, licha ya hatari wanazokutana nazo kazini.

Diwani wa Kata ya Kishapu Mhe. Joel Ndettoson ametoa pongezi kwa wauguzi kwa kuadhimisha siku yao wakiwa kazini huku wakitoa zawadi kwa wagonjwa mbalimbali wakiwemo mama wajawazito, waliokwisha jifungua na watoto na ametoa wito kwa serikali kuanzisha chuo cha uuguzi katika Hospitali ya Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ili kuongeza idadi ya wauguzi na kusaidia utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Diwani wa Kata ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Joel Ndettoson 

Muuguzi Mkuu wa Wilaya (DNO), Bi. Mariam Ndahani, amemhakikishia Mkuu wa Wilaya kuwa ataendelea kusimamia vema kada ya uuguzi ili ifanye kazi kwa weledi mkubwa sambamba na jitihada za serikali ya awamu ya sita kusikiliza na kutatua changamoto za wauguzi, ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao.

“Maadhimisho haya hufanyika kila Mei 12. Mwaka huu tumeadhimisha leo kwa ngazi ya Wilaya ili tukumbushane kuhusu kiapo na maadili ya kazi yetu ya uuguzi hii ni kazi ya baraka, tuendelee kuitumikia kwa moyo na wito wa kweli,” amesema DNO Ndahani.

Maadhimisho hayo ya nane Wilayani humo yenye kauli mbiu isemayo "Wauguzi nguvu ya mabadiliko duniani" yameambatana na maandamano huku wakitoa zawadi kwenye wodi mbalimbali na baadhi ya Wagonjwa waliopokea zawadi.

Matangazo

  • TAARIFA YA MTIRIRIKO WA FEDHA KWA KIPINDI KILICHOISHIA TAREHE 30 JUNE. 2022 August 14, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI November 03, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili September 20, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MASINDI ATAKA WAUGUZI KISHAPU WAFANYE KAZI KWA NIDHAMU NA UPENDO

    May 31, 2025
  • REDESO NA CARE INTERNATIONAL WAWEZESHA WAKULIMA WADOGO KISHAPU KUPITIA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU NA ZAO LA MKONGE

    May 30, 2025
  • MBUNGE BUTONDO ATOA VIFAA VYA TEHAMA KUUNGA MKONO SEKTA YA ELIMU KISHAPU

    May 26, 2025
  • CPA. MAKALA AIPONGEZA SERIKALI MAENDELEO KISHAPU – BUTONDO AOMBA DED ASIONDOLEWE

    May 23, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa