Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu Bw.Joseph Sahani Swalala(kulia) akimkabidhi fomu mgombea Ubunge Jimbo hilo kwa tiketri ya Chama cha Makini Perpetua Kabete(Kushoto) Agasti 14,2025
Mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga kupitia Chama cha Makini Bi.Perpetua Adrian Kabete amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu Bw.Joseph Sahani Swalala
Kabete amekabidhiwa fomu na miongozo ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 Agasti14,2025 na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu Bw.Joseph Swalala.


Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa