• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Nyaraka
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022
    • Matangazo
    • Sheria ndogo ya ushuru wa huduma
    • Mifumo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
      • Uvuvi wa Samaki katika Bwawa la Songwa, Bwawa mhumbu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Mhe. William Luhende Jijimya - Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Francis Manyanda - Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Joel Ndettoson - Diwani kata ya Kishapu
      • Mhe. Mohamed Aman - Diwani kata ya Ndoleleji
      • Mhe. Lucas Nkende - Diwani kata ya Mwamashele
      • Mhe. Pontias Daud - Diwani kata ya Mwataga
      • Mhe. James Kasomi - Diwani kata ya Bubiki
      • Mhe. Bushi Mpina - Diwani kata ya Mwamalasa
      • Mhe. Nyama Kisinza - Diwani kata ya Somagedi
      • Mhe. Mashini W. Washima - Diwani kata ya Uchunga
      • Mhe. Anderson Mandia - Diwani kata ya Ukenyenge
      • Mhe. Edward Manyama - Diwani kata ya Kiloleli
      • Mhe. Reuben Siyabo - Diwani kata ya Bupigi
      • Mhe. Bujiku Nyanda - Diwani kata ya Mwaweja
      • Mhe. Michael Paul - Diwani kata ya Shagihilu
      • Mhe. Luhende S. Luhende - Diwani kata ya Lagana
      • Mhe. Richard Dominico - Diwani kata ya Talaga
      • Mhe. James Kamuga - Diwani kata ya Igaga
      • Mhe. Lameck Nsubata - Diwani kata ya Itilima
      • Mhe. Mpemba Malangahe - Diwani kata ya Bunambiyu
      • Mhe. Makenzi Charles - Diwani kata ya Busangwa
      • Mhe. Nestory Kalugula - Diwani kata ya Ngofila
      • Mhe. Lwinzi Kidiga - Diwani kata ya Maganzo
      • Mhe. Samson Gelewa - Diwani kata ya Mwasubi
      • Mhe. Sarah Marco - Diwani kata ya Idukilo
      • Mhe. Enock Bundala - Diwani kata ya Masanga
      • Mhe. Thabidha Mmbando - Diwani kata ya Mwakipoya
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri
  • miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Kituo Cha Habari
    • maktaba ya picha
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa za Vyombo vya Habari
  • Maeneo
    • Kata
      • Orodha ya Kata
    • Tarafa
      • Orodha ya Tarafa
    • Vijiji
      • Orodha ya Vijiji

WASIMAMIZI WA VITUO KISHAPU WAONYWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

Posted on: October 27th, 2025

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Joseph Swalala akizungumza na wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika ukumbi wa mikutano wa Masele ulioko Ukenyenge Tarafa ya Negezi wakati akifunga mafunzo hayo Oktoba 27,2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewakumbusha wasimamizi na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Katiba, Sheria na Kanuni za Uchaguzi, ili kuhakikisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unafanyika kwa uwazi, amani na uadilifu.

Afisa Uchaguzi Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Sigisbert M. Rwezaula akizungumza na wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura katika ukumbi wa mikutano wa Mwadui Lutheran ulioko Tarafa ya Mondo Oktoba 27,2025

akizungumza wakati akifunga mafunzo hayo ya siku mbili Oktoba 27,2025 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kishapu Joseph Swalala ameeleza kuwa uteuzi wao umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 76 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024, huku INEC ikibainisha kuwa jukumu la kuratibu na kusimamia uendeshaji wa uchaguzi nchini limewekwa wazi katika ibara ya 74(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

Aidha Swalala, amewataka wasimamizi hao 1,726 watakaosimamia vituo 556 katika tarafa za Kishapu, Negezi na Mondo, kuepuka kuwa chanzo cha migogoro na badala yake washirikiane katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na haki.

“Msiwe chanzo cha migogoro, mkatende haki, kumbukeni kuhakiki vifaa kabla ya kuvipeleka vituoni na msome Katiba, Sheria, Kanuni na miongozo yote iliyotolewa na Tume  pia mna wajibu wa kisheria kutekeleza majukumu ya uchaguzi kwa niaba ya Tume katika vituo vyenu vya kupigia kura.” amesema Swalala.


Kwa upande wake, Afisa Uchaguzi wa Wilaya hiyo Mwl. Sixbert Rwezaula amewataka wasimamizi wote kufika vituoni kwa wakati ifikapo tarehe 28 Oktoba 2025 saa mbili asubuhi, akisisitiza kuwa hakuna sababu yoyote itakayokubalika ya kuchelewa au kushindwa kutekeleza majukumu yao.

Sambamba na hayo jumla ya kumbi sita zimetumika katika Jimbo hilo ikiwa ni kutoka Tarafa ya Kishapu,Negezi pamoja na Mondo yenye lengo la mafunzo kuwakumbusha majukumu  kuhusu  uendeshaji wa Uchaguzi ngazi ya kituo. 

Matangazo

  • TAARIFA YA MTIRIRIKO WA FEDHA KWA KIPINDI KILICHOISHIA TAREHE 30 JUNE. 2022 August 14, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI November 03, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili September 20, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    November 21, 2025
  • WATUMISHI KISHAPU WAPEWA MAFUNZO YA ELIMU YA FEDHA NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI

    November 20, 2025
  • DC,DED NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISHAPU WAUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO KISHAPU WAONYWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    October 27, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa