• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Nyaraka
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022
    • Matangazo
    • Sheria ndogo ya ushuru wa huduma
    • Mifumo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
      • Uvuvi wa Samaki katika Bwawa la Songwa, Bwawa mhumbu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Mhe. William Luhende Jijimya - Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Francis Manyanda - Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri
      • Mhe. Joel Ndettoson - Diwani kata ya Kishapu
      • Mhe. Mohamed Aman - Diwani kata ya Ndoleleji
      • Mhe. Lucas Nkende - Diwani kata ya Mwamashele
      • Mhe. Pontias Daud - Diwani kata ya Mwataga
      • Mhe. James Kasomi - Diwani kata ya Bubiki
      • Mhe. Bushi Mpina - Diwani kata ya Mwamalasa
      • Mhe. Nyama Kisinza - Diwani kata ya Somagedi
      • Mhe. Mashini W. Washima - Diwani kata ya Uchunga
      • Mhe. Anderson Mandia - Diwani kata ya Ukenyenge
      • Mhe. Edward Manyama - Diwani kata ya Kiloleli
      • Mhe. Reuben Siyabo - Diwani kata ya Bupigi
      • Mhe. Bujiku Nyanda - Diwani kata ya Mwaweja
      • Mhe. Michael Paul - Diwani kata ya Shagihilu
      • Mhe. Luhende S. Luhende - Diwani kata ya Lagana
      • Mhe. Richard Dominico - Diwani kata ya Talaga
      • Mhe. James Kamuga - Diwani kata ya Igaga
      • Mhe. Lameck Nsubata - Diwani kata ya Itilima
      • Mhe. Mpemba Malangahe - Diwani kata ya Bunambiyu
      • Mhe. Makenzi Charles - Diwani kata ya Busangwa
      • Mhe. Nestory Kalugula - Diwani kata ya Ngofila
      • Mhe. Lwinzi Kidiga - Diwani kata ya Maganzo
      • Mhe. Samson Gelewa - Diwani kata ya Mwasubi
      • Mhe. Sarah Marco - Diwani kata ya Idukilo
      • Mhe. Enock Bundala - Diwani kata ya Masanga
      • Mhe. Thabidha Mmbando - Diwani kata ya Mwakipoya
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya Mwenyekiti wa Halmashauri
  • miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
  • Kituo Cha Habari
    • maktaba ya picha
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa za Vyombo vya Habari
  • Maeneo
    • Kata
      • Orodha ya Kata
    • Tarafa
      • Orodha ya Tarafa
    • Vijiji
      • Orodha ya Vijiji

ZIARA YA MHE. TULIA YAONGEZA HAMASA YA MAENDELEO KISHAPU

Posted on: September 19th, 2025

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson, akizungumza kwenye mkutano wa wa hadhara na wananchi wa Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Septemba 19,2025 katika Viwanja vya Mabela.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson, amefanya ziara Wilayani Kishapu, Mkoani Shinyanga ambapo amezungumza na Wananchi kuhusu mipango ya maendeleo iliyomo katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi ya mwaka 2025/2030.

Katika mkutano huo wa hadhara uliofanyika Septemba 19,2025 katika Viwanja vya Mabela, Spika Tulia amewataka Wananchi wa Kishapu kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu ujao, akibainisha kuwa ni njia pekee ya kuchagua viongozi wanaowaamini kuwaletea maendeleo.

"Ndugu zangu wa Kishapu Ilani ya CCM imebainisa mambo mengi mtakayonufaika nayo wakazi wa eneo hili  hasa changamoto yenu ya Barabara ya Kolandoto -Mhunze Itatengenezwa Kwa kiwango Cha lami ili kuongeza kipato Kwa Wananchi kutokana na kufanya Kazi bila kikwazo Cha miundombinu" amesema Tulia

Katika hotuba yake, Spika Tulia amewafikishia wananchi salamu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwashukuru kwa uvumilivu wao na namna wanavyoendelea kuiamini Serikali katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Aidha, amewaahidi wananchi wa Kishapu kuwa Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya, kuimarisha miundombinu ya barabara, kuinua kiwango cha elimu, kupeleka huduma za maji safi na salama, pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa umeme Kwa kila Kitongoji na unaongezeka.

Mhe. Tulia amewatambulisha rasmi kwa Wananchi,Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kishapu kupitia CCM, Mhe. Lucy Thomas Mayenga, pamoja na wagombea udiwani wa Kata zote 29 zinazounda Halmashauri ya Wilaya hiyo.

Akizungumza baada ya utambulisho huo, Mhe. Lucy Mayenga amekishukuru Chama Chake kwa imani waliyoonyesha kwake kwa kumpa nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM. Ameahidi kuwa endapo Wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha analeta maendeleo yenye tija yanayogusa maisha ya kila mmoja.

“Nataka niwahakikishie Wananchi wa Kishapu, nikipewa nafasi ya kuwa mwakilishi wenu, nitashirikiana nanyi bega kwa bega kuhakikisha huduma bora za jamii zinapatikana kwa wakati na miradi ya maendeleo inatekelezwa ipasavyo,” amesema Mayenga.

Vilevile, Mhe. Lucy Mayenga amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Mhe. Peter Masindi, kwa usimamizi mzuri ndani ya Wilaya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Bw. Emmanuel Johnson, kwa kusimamia ipasavyo matumizi ya fedha za serikali katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe Lucy Thomas Mayenga akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa 31 wa Umoja wa Mabaraza ya Kitaifa Duniani (IPU) Mhe.Dr Tulia Ackson na Wananchi wa Wilaya hiyo mnamo Septemba 19,2025 katika Viwanja vya Mabela.

Mgombea Udiwani Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe Joel Ndettoson kwatiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa 31 wa Umoja wa Mabaraza ya Kitaifa Duniani (IPU) Mhe.Dr Tulia Ackson na Wananchi wa Wilaya hiyo mnamo Septemba 19,2025 katika Viwanja vya Mabela.

Ziara ya Spika Tulia Akson Kishapu imeendelea kuongeza hamasa ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ifikapo Oktoba 29 ambapo wananchi wamehimizwa kushiriki kwa amani na mshikamano


Matangazo

  • TAARIFA YA MTIRIRIKO WA FEDHA KWA KIPINDI KILICHOISHIA TAREHE 30 JUNE. 2022 August 14, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI November 03, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili September 20, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    November 21, 2025
  • WATUMISHI KISHAPU WAPEWA MAFUNZO YA ELIMU YA FEDHA NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI

    November 20, 2025
  • DC,DED NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISHAPU WAUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO KISHAPU WAONYWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    October 27, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa