Posted on: June 16th, 2017
Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu Shinyanga, Shadrack Kangese leo ameongoza wananchi wilayani humo kuadhimisha kumbukumbu ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwa...
Posted on: June 10th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Stephen Magoiga amesema kuundwa kwa mfumo wa sekta za umma (PS3) utasaidia kuhakikisha fedha za...
Posted on: June 5th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack ametumia Siku ya Mazingira Duniani kuwaagiza viongozi katika ngazi mbalimbali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu athari zinazotokan...