Posted on: January 18th, 2021
Mafunzo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu yamefanyika leo Januari 18, 2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu yaliyolenga kuwajengea uwezo juu ya masuala yanayohusu...
Posted on: January 11th, 2021
Naibu Katibu Mkuu wa Elimu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Gerald Mweli, amesema Wanafunzi wa kidato cha Nne na Sita, muda wao walionao kwa sasa ni miezi Minne kwa kidato cha Sita na Miezi tisa kwa kidato ...
Posted on: January 21st, 2021
Naibu Waziri wa Madini, Prof. Shukrani Manya akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya Almasi katika Kijiji cha Mwanh'olo wilayani Kishapu ambao wanaodaiwa kuvamia eneo la mwekezaji, Mgodi wa Al-H...