Posted on: October 22nd, 2018
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa jumla ya vitabu 50,100 kwa ajili ya shule za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Vitabu hivyo vya ziada, kiada na mihtasar...
Posted on: October 20th, 2018
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga limepokea gari jipya kwa ajili ya matumizi ya shughuli zake kutoka mgodi wa almasi wa Mwadui.
Gari hilo aina ya Nissan Hilux lenye thamani ya sh. ...
Posted on: October 19th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack Septemba 18 ametembelea na kukagua mradi wa upanuzi wa kituo cha afya Kishapu ulioanza kutekelezwa katika Wilaya ya Kishapu.
Akiwa katika mradi huo kit...