Posted on: September 4th, 2018
Wanajamii wametakiwa kuwathamini na kuwatunza watu wenye ualbino kama walivyo watu wengine kwa kuwajengea uwezo wa kujitegemea ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Mwito huo umetolewa leo na Afisa Taraf...
Posted on: September 7th, 2018
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi naTeknolojia imetoa jumla ya vitabu 29,821 vya kujifunzia na kufundishia kwa shule za msingi katika Halmashauriya Wilaya ya Kishapu kwa lengo la kuboresha sek...
Posted on: September 4th, 2018
Watahiniwa 4,592 wanatarajiwa kufanya mtihani wakumaliza elimu ya msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ambao unafanyikanchini kote Septemba 5 na 6, 2018.
Hayo yamesemwa leo na Ofisa Elimu...