Posted on: June 5th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imeadhimisha Sikuya Mazingira Duniani huku ikiwa imefanikiwa kufanya shughuli mbalimbali zauhifadhi mazingira ikiwa upandaji miti laki mbili.
Akiongoza maadhimisho ...
Posted on: May 28th, 2018
Walengwa wanaonufaika na Mpango wa kunusuru kaya maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wameonesha mafanikio mbalimbali katika kujikwamu.
Mafani...
Posted on: May 14th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imekabidhi vyumba vitatu vya madarasa kwa Shule ya Sekondari Mwadui Ufundi baada ya umaliziaji wakekukamilika.
Ukarabati huo wa vyumba hivyo vya madarasa vilivyogha...