Posted on: March 14th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji katika maeneo yao ili yaweze kuwasaidia katika shughuli mbalimbali za maendeleo.
Mhe. Telack amesema hayo le...
Posted on: March 13th, 2018
Halmashauri ya Wilayaya Kishapu imetajwa kuwa ni miongoni mwa Halmashauri tisa vinara katika utoaji habari kupitia tovuti zao kwa wakati.
Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harr...
Posted on: March 12th, 2018
Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Albert Msovela amewataka viongozi wa elimu katika mkoa huo kuandaa mpango endelevu kwa ajili ya kuinua ubora wa elimu kufikia mwaka 2019.
Msovela amesema hayo leo wilay...