Posted on: March 5th, 2018
Serikali ya Tanzania kwa awamu zake tofauti imekuwa ikitekeleza mpango wake wa kunusuru na kuinua wananchi wake kutoka katika lindi la umaskini na kuwa na uchumi wa kati.
Hiyo imekuwa ikifanyika ku...
Posted on: March 1st, 2018
Maji ni moja ya mahitaji na rasilimali muhimu kwa uhai wa binadamu, wanyama na mimea ambapo yanapatikana kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo vya asili na vya kutengenezwa.
Katika Wilaya ya Kishapu Mk...
Posted on: February 28th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Mhe. Nyabagaga Taraba amewataka madiwani kuwahamasisha wananchi kupulizia dawa kwenye mtama na pamba ili kupambana na wadudu waharibifu.
Mhe. Taraba alitoa mwito huo waka...