Posted on: December 13th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta ya elimu ya msingi ikiwemo ujenzi wa nyumba za walimu na vyoo vya wanafunzi kutokana na fedha zilizotolewa na Ma...
Posted on: December 7th, 2017
Halmashauri imetenga jumla ya sh. milioni 107.68 kupitia mapato yake ya ndani zitakazotumika kuboresha miundombinu ya shule zake za sekondari.
Fedha hizo kwa ujumla wake zitatumika kujenga vyumba v...
Posted on: December 11th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imeanza kwa kasi ujenzi wa mfumo wa usambazaji maji ambao ni mradi wa maji ya Ziwa Victoria unaotarajiwa kugharimu sh. bilioni 1.16.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmasha...