Posted on: August 18th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Mkuu wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Mheshimiwa Nyabaganga Taraba amesema zoezi la utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa ng’ombe kwa kutumia chapa litapunguza chang...
Posted on: August 17th, 2017
Maafisa ugani halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wameagizwa kusimamia kikamilifu sheria ndogo inayotaka kila kaya kulima mazao yanayostahimili ukame.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa...
Posted on: August 16th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Wananchi wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya (CHF) iliyoboreshwa ili wapate huduma na kuboresha afya zao na hivyo kuweza kushiriki shughuli mbalimbali za uzalishaji.
...