Kitengo cha Ugavi na Manunuzi kinasimamia manunuzi yote toka idara na vitengo ndani ya Halmashauri kitengo hiki kina wataalamu ambao hufanya kazi kwa mujibu wa sheria za manunuzi.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UGAVI NA MANUNUZI.
1.Kushughulikia shughuli zote za manunuzi yote yanayofanywa na Halmashauri.
2.Kuandaa nyaraka za na mikataba na zabuni
3.Kusaidia majukumu ya bodi ya zabuni
4.Kutekeleza maamuzi ya bodi ya Zabuni
5.Kuandaa na kupitia orodha ya mahitaji
6.Kuandaa matangazo ya zabuni
7.Kutoa mikataba iliyokwisha kusainiwa
8.Kutunza kumbukumbu za manunuzi
9.Kutunza orodha na rejesta ya kikataba yote iliyoingizwa
10.Kuandaa taarifa ya mwezi ya bodi ya zabuni.
11.Kuandaa mpango wa mahitaji
.
.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa