Posted on: April 24th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Ndaki amewataka wataalamu kufuatilia maendeleo ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ndaki alitoa maagizo hayo wakati akikagu...
Posted on: April 18th, 2019
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imefanya zoezi la kutoa chanjo ya minyoo na kuogesha mifugo ya walengwa.
Zoezi hilo lilifanyika kwa walengwa wa kaya katika viji...
Posted on: April 15th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Ndaki ametembelea kambi ya wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Mwamadulu.
Akiwa katika ka...