Posted on: May 8th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imekabidhi jengo jipya la maabara kwa Shule ya Sekondari Mangu iliyopo Kata ya Shagihilu baada ya ukarabatiwake kukamilika.
Maabara hiyo iliyokamilika gharama ya th...
Posted on: May 6th, 2018
Watahiniwa 222 wanatarajiwa kufanya mtihani waTaifa wa kidato cha sita katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoaniShinyanga.
Akizungumza na ofisini kwake Afisa Elimu Sekondariwa Halmashauri ya W...
Posted on: May 1st, 2018
Serikali mkoani Shinyanga imeahidi kutatua changamoto zinazowakabili watumishi pamoja na kuendelea kuwatetea ili kuhakikisha wanafanya kazi wakiwa katika hali ya usalama.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa ...