Posted on: July 24th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Kamati ya Fedha, Ungozi na Mipango halmashauri ya wilaya ya Kishapu imefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye kata za Lagana, Itilima na Talaga.
...
Posted on: July 17th, 2017
Na Ofisi ya Habari Kishapu
Mkuu wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Taraba ameagiza uchunguzi ufanyike mara moja kubaini chanzo cha moto ulioteketeza bweni la wasichana shule ya sekon...
Posted on: July 13th, 2017
Na Ofisi ya Habari, Kishapu
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Amour Hamad Amour amewataka Watanzania kuepuka utumwa wa kutegemea kununua bidhaa kutoka nje ya nchi.
Ametoa mwito huo mw...