Posted on: February 13th, 2019
Hospitali ya Wilaya ya Kishapu ya Dk. Jakaya MrishoKikwete inatarajiwa kupata gari jipya la wagonjwa ‘ambulance’ ili kutatuachangamoto ya usafiri iliyokuwa ikiikabili.
Hayo yamebainishwa Februari 1...
Posted on: February 12th, 2019
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. BaloziSeif Ali Iddi leo amekabidhi kiti maalumu cha matibabu ya meno na vifaa vingine kwa Hospitali ya Wilaya ya Kishapu.
Mhe. Balozi Seif ambaye pia ni mle...
Posted on: January 15th, 2019
Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeendeleakutekeleza zoezi la uhamasisha na ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiliamalikatika kata mbalimbali wilayani humo.
Zoezi hilo lililoongozwa na Mkuu wa wil...