Posted on: November 5th, 2018
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu na kukagua utekelezaji wa Ilani kwenye miradi ya maendeleo.
Katika ziara hiyo M...
Posted on: November 29th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwa kushirikiana na Shirika la Relief for Development Society (REDESO) imezindua Kamati ya Maafa Wilaya katika kikao kilichofanya wilayani humo.
Kamati hiyo inayoon...
Posted on: October 25th, 2018
Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeridhishwa na kupongeza hatua ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hayo yamejiri leo waka...