Posted on: March 19th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imefanya tathmini ya zoezi la upigaji chapa ng’ombe ambalo lilizinduliwa Septemba 9 mwaka jana na Mkuu wa Wilaya, Mhe. Nyabaganga Taraba.
Katika tathmini hiyo imewe...
Posted on: March 16th, 2018
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu amesema Serikali itaendelea na usambazaji wa nishati ya umeme katika vijiji vyote 50 katika Wilaya ya Kishapu kama ambavyo iliahidi.
Amesema hayo leo wila...
Posted on: March 15th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Zainab Telack amekagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa miundombinu ya kituo cha afya Songwa pamoja zahanati ya Maganzo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Kati...