Posted on: November 11th, 2017
Shirika la Msaada na Mandeleo ya Jamii (REDESO) katika Halmashauri ya wilaya ya Kishapu limewapa mafunzo wazalishaji na wasindikaji wa zao la mkonge kutoka Kishapu na Meatu mkoani Simiyu.
Mafunzo h...
Posted on: November 10th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imefanikiwa kutambua, kusajili na kupiga chapa jumla ya ng’ombe 100,000 hadi kufikia Novemba mwaka huu, zoezi linaloendelea hivi sasa.
Afisa Mifugo na Maendeleo ya ...
Posted on: November 9th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwa ushirikiano na Shirika la Msaada na Mandeleo ya Jamii (REDESO) imepima viwanja 196 kwa ajili ya kutolewa hati za kimila kwa wananchi hadi kufikia Novemba mwaka huu...