Posted on: November 3rd, 2017
Mtama ni mojawapo ya mazao yanayostahimili ukame hapa nchini ambalo limekuwa ni mkombozi wa chakula kwa jamii kubwa ya Kitanzania na hata nje ya mipaka ya nchi yetu ukiacha mahindi na mazao mengine.
...
Posted on: November 2nd, 2017
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu limekutana kwa ajili ya kukuwasilisha na kupokea taarifa za miradi ya maendeleo ya kata zake mbalimbali.
Katika kikao hicho cha kujadili t...
Posted on: October 30th, 2017
Jumla ya watahiniwa 1,381 wameanza kufanya mtihani wa Taifa wa kumalizia kidato cha nne katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Afisa Elimu Sekondari Wilaya, Paul Kasanda amebainisha kuwa miongoni...