Hii ni kamati ya kudumu inayokaa vikao vya kila mwezi, kudajili shughuli za maendeleo ya Wilaya ya Kishapu.
Kamati hii inaongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Mheshimiwa Boniphace Butombo pamoja na wajumbe (Madiwani) 9 pamoja na wakuu wa idara zote za Halmashauri kwa mujibu wa mwongozo.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa