• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii

Elimu ya Msingi

.UTANGULIZI

Idara ya Elimu Msingi inaundwa na vitengo vitatu katika kutekeleza majukumu yake. Vitengo hivi ni kama ifuatavyo:-

  • Elimu Utawala
  • Elimu ya Watu Wazima na
  • Elimu Maalum

Idara ya Elimu Msingi ina jumla ya Shule 122 kati ya hizo, shule 119 ni za Serikali na Shule 3 ni za watu binafsi.

Idara  hii ilianza mwaka 2005, ikisimamia Elimu msingi  na Sekondari chini ya Afisa Elimu (W) ndugu Patric Msira.  Mwaka 2006 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilimteua ndugu Reuben C. Kaduli  kuwa Afisa Elimu wilaya  ya Kishapu,Katika kutekeleza majukumu ya serikali alisaidiana na maafisa Elimu wafuatao:-

  • James Malima TAALUMA
  • Hongoa Bayo TAALUMA
  • Ranko Banadi WATU WAZIMA
  • Sigisebert M. Rwezahura TAKWIMU NA VIFAA
  • Baraka M. Mwijarubi VIELELEZO
  • Paulo JilalaUFUNDI
  • Theresia Shada SAYANSI KIMU

 Mwaka  2010  Idara ilisimamiwa na  Julitha  Ishengoma aliyehamishiwa Kishapu kutoka wilaya ya  Maswa. Baadae  mwaka 2013  Anderson  N. Mwalongo alihamishiwa wilaya ya Kishapu  akisaidiana na maafisa wafutao:-  

  • James Malima TAALUMA
  • Magreth Magele TAALUMA
  • Sigisebert M. Rwezahura TAKWIMU NA  VIFAA
  • Baraka M. Mwijarubi,  VIELELEZO
  • Emmanuel Ngobayi  AFISA ELIMU TAALUMA
  • Winfrida Mukama AFISA ELIMI SAYANSI KIMU
  • Mathayo Mafangha VIELELEZO
  • Daniel Birore TAALUMA
  • Moshi B. Moshi UFUNDI
  • Paul Magubiki TAKWIMU NA VIFAA
  • Ranko Banadi WATU WAZIMA

Kuanzia mwaka  2013 hadi sasa idara hii ya elimu msingi inasimamiwa na Afisa Elimu ndugu Sostenes. C. Mbwilo  akisaidiana  na Emmanuel nyamwila ngobayi, Afisa Elimu Taaluma (w) ,  Daniel Machera Birore,  Afisa Elimu Taaluma (w) Baraka Mwijarubi Mtabi Afisa Elimu Watu Wazima (w),  Moshi Balele Moshi,  Afisa Elimu Ufundi (w), Paul Richard Magubiki, Afisa Elimu Takwimu na Vifaa (w), Richard Mwangi Mutatina, Afisa Elimu Takwimu na Vifaa (w), Winifrida Kuleba Mukama Afisa Elimu Sayansikimu na Afya (w) pamoja na Boaz Marco Mafuru, Afisa Alimu Elimu Maalum (w)

  •  MAJUKUMU YA IDARA

Majukumu ya idara ya Elimu Msingi yanatekelezwa kutegemea vitengo vilivyopo kama vile Taaluma, Takwimu na Vifaa, Elimu ya Watu wazima pamoja na Elimu Maalum. Aidha majukumu hayo yanatekelezwa kwa ngazi za kata na vijiji kupitia Waratibu Elimu Kata 29 pamoja na walimu wakuu 122 katika shule za serikali na binafsi. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:-

  • Kufuatilia utoaji wa taaluma bora mashuleni
  •  Kuratibu, kusimamia, kuendesha na kutathmini mtihani wa darasa la pili, nne na la saba, pamoja na mitihani ya ufundi kwa kushirikiana na Baraza la Mtihani Tanzania.
  • Kubuni mipango ya kuimarissha na kuendeleza taaluma ya walimu na wanafunzi.
  • Kushiriki katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza
  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi
  • Kukusanya, kuchanganua, kutuma na kutoa takwimu sahihi
  • Kuratibu mashindano ya taaluma katika shule mbalimbali
  • Kuratibu utoaji wa huduma muhimu kwa wanafunzi kama vile mahudhurio, uhamisho na huduma za chakula
  • Kuratibu mafunzo ya walimu kazini
  • Kuandaa bajeti ya idara ya elimu

 

  1. TAKWIMU ZA ELIMU YA AWALI NA MSINGI TANGU 2014 – 2017

 

 

DARASA LA AWALI

DARASA I – VII

JUMLA KUU YA AWALI NA MSINGI

WAV

WAS

JML

2014

7,226

21,971

23,431

45,402

52,628

2015

8,907

21,172

23,384

44,556

53,463

2016

13,192

21,501

23,779

45,280

58,472

2017

11,735

27,411

28,822

56,233

67,968

 

  1.  AJIRA YA WALIMU

Halmashauri ya Wilaya kwa mara ya mwisho imepokea walimu wa ajira mpya mwaka 2014. Hivyo wilaya kwa sasa inaupungufu wa walimu 943 ambao ni sawa na asilimia 48.9 ya mahitaji.

IKAMA YA WALIMU

Idadi ya walimu waliopo tangu 2014 - 2017

  • MWAKA
  • WALIMU WALIOPO
  • ME
  • KE
  • JML
  • 2014
  • 731
  • 439
  • 1,170
  • 2015
  • 716
  • 463
  • 1,184
  • 2016
  • 599
  • 389
  • 988
  • 2017
  • 596
  • 388
  • 984

 

 

 

 

 

 

 

 

Mahitaji ya walimu kwa mwaka 2017

  • IKAMA YA WALIMU
  • MAHITAJI
  • WALIOPO
  • UPUNGUFU
  • 1927
  • 984
  • 943

 

 

  1. MIUNDOMBINU ILIYOPO

 

Miundombinu tangu 2014 – 2017

MWA

KA

 

Vyumba

vya Madarasa

Nyumba

za walimu

Vyoo

Madawati

Mah

Vil

Up

Mah

Vil

Up

Mah

Vil

Up

Mah

Yal

Up

2014

1170

760

410

1170

255

915

2288

604

1684

15134

10937

4197

2015

1188

785

403

1188

271

1109

2324

693

1631

14852

11454

3398

2016

1299

788

511

1299

279

1020

2542

762

1780

15093

18910

0

2017
1,927
792
1,135
1,927
279
1,648
1,732
762
970
23,086
19,997
4,079

 

 

  1.  VITUO VYA WALIMU (TRCs)

Wilaya ina mahitaji ya vituo 25 vya walimu TRCs ambapo mpaka sasa Wilaya imejenga  vituo 4 vya walimu ambavyo vinatumika ukilinganisha na mwaka 2013 wilaya haikuwa na kituo chochote cha walimu.

Vituo hivyo ni;

TRC Mhunze iliyoko Kata ya Kishapu,

TRC Ndoleleji iliyoko Kata ya Shagihilu,

TRC Mipa iliyoko Kata ya Seke Bugolo na

TRC Negezi iliyoko Kata ya Ukenyenge.

  • ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU
  • Idara ya Elimu Msingi inasimamia kuendesha kitengo kimoja cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili kilichoko katika Shule ya Msingi Maganzo na wanafunzi wenye ulemavu mwingine katika shule jumuishi. Takwimu za wanafunzi wenye ulemavu ni kama ifuatavyo:- 

     Takwimu za wanafunzi wenye ulemavu

TAKWIMU ZA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU

KITENGO

SHULE JUMUISHI

JUMLA KUU

AINA YA ULEMAVU

WAV

WAS

JML

AINA YA ULEMAVU

WAV

WAS

JML

ULEMAVU WA AKILI

7

4

11

ULEMAVU WA NGOZI

2

2

4


WASIO SIKIA

4

3

7

ULEMAVU WA AKILI

11

9

20

JUMLA

7

4

11


17

14

31

JUMLA KUU


11


31

42

IDADI YA WALIMU WA WATOTO WENYE ULEMAVU

ME
KE
JML
TAALUMA

2

3

5

MTINDIO WA UBONGO




WASIO ONA













 


Matangazo

  • Tangazo la kazi kada ya Afya December 12, 2018
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili nafasi ya watendaji May 10, 2018
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • Wanafunzi Waaswa Kusoma kwa Bidii Wakizingatia Uzalendo

    January 11, 2021
  • Wachimbaji wadogo wa madini waliovamia eneo la Mgodi wa Al-Hilal watakiwa kuondoka.

    January 21, 2021
  • Milioni 42.6 kutoka mfuko wa Jimbo kuendeleza ujenzi Madarasa na Maabara.

    January 17, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kishapu kukagua mradi mkakati wa ujenzi wa vyumba vya madarasa.

    January 13, 2021
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa