Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeendeleakutekeleza zoezi la uhamasisha na ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiliamalikatika kata mbalimbali wilayani humo.
Zoezi hilo lililoongozwa na Mkuu wa wilaya hiyo,Mhe. Nyabaganga Taraba akisaidiana na watalaamu kutoka Halmashauri na baadhi yawajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama.
Limefanyika katika maeneo mbalimbali ambapowalijitokeza wajasirimali kwa ajili ya kuandikishwa na kuchukua vitambulishohivyo ambavyo
Mkuu wa wilaya hiyo aliwahamasisha kuchangamkiafursa hiyo ambayo wamepewa itakayowawezesha kufanya biashara zao bilakubugudhiwa na mtu yeyote.
Itakumbukwa Rais Dk. John Pombe Magufuli Desemba10, 2018 alikabidhi jumka ya vitambulisho 670,000 kwa wakuu wa mikoa yote yaTanzania Bara ambavyo viligawiwa kwa wilaya zote kwa ajili ya wajasiriamali.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa