Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ilipokea Kiasi cha Shilingi 180,000,000 kwaajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu,
Ujenzi huo wa Nyumba ya Mkurugenzi mtendaji upo katika Asilimia Sitini na Nane (68)
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu inaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kulete fedha nyingi kwaajili ya kutekeleza Miradi Mbalimbali ya Maendeleo
@samia_suluhu_hassan @dr_philip_isdor_mpango @kassim_m_majaliwa @ortamisem@samia_suluhu_hassan @dr_philip_isdor_mpango @kassim_m_majaliwa @ortamisemi
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa