• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022
    • MATANGAZO
  • Madiwani

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA KISHAPU AWAPONGEZA MADIWANI KWA KUFUATILIA CHANGAMOTO ZA WANANCHI

Posted on: November 1st, 2022

Mwenyekiti wa Hamashauri ya Wilaya ya Kishapu, Mhe. William Luhende Jijimya amewapongeza Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwa kufuatilia changamoto za wananchi.


Mhe. Jijimya amewapongeza madiwani hao  wakati wa mkutano wa baraza la madiwani wa kujadili taarifa za kata leo Novemba 1, 2022.


"Niwapongeze waheshimiwa Madiwani  kwa kuendelea kutatua changamoto ambazo zipo kwenye kata zetu, msichoke kuleta changamoto za wananchi na tuzisimamie ziendelee kutatuliwa, kwa taarifa hizi mlizoziwasilisha inaonyesha kabisa mnafatilia kwa ukaribu na mnazifahamu changamoto zilizopo kwa Wananchi," ameeleza.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Ndg. Emmanuel Johnson amewaeleza madiwani kuwa ofisi yake ipo tayari kusimamia na kutatua changamoto.


"Niwahakikishie kwamba ofisi yangu itasimamia kuhakikisha tunafatilia changamoto moja moja kuhakikisha tunazitatua  kadri ya uwezo na mapato ya Halmashauri, na kwa changamoto ambazo zinahitajika kufikishwa katika Serikali kuu ambazo zimeelekezwa ofisini kwangu, tutazifanyia kazi"


Aidha, Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kishapu Ndg. Jiyenze Seleli  amewataka madiwani wazidi kufuatilia changamoto za wananchi na kusisitiza kuwa wasikate tamaa katika kutatua changamoto za wananchi kwa kuwa wamefunga mkataba nao.

MMkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Kishapu Ndg. Emmanuel Johnson akizungumza mbele ya baraza la Madiwani 

Madiwani wakiwa kwenye mkutano 

Wataalamu wakiwa kwenye mkutano 

Diwani wa kata ya Mwadui Luhumbo akiwasilisha Taarifa 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • RATIBA YA UFANYAJI MAZOEZI KWA KILA WIKI August 16, 2021
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MKUDE ATEMBELEA MGODI WA MWADUI KUJIONEA HATUA ZILIZOCHUKULIWA BAADA YA BWAWA LA MAJI TOPE KUBOMOKA

    January 23, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI KISHAPU LAPITISHA MPANGO WA BAJETISH BILIONI 39.4 KWAAJILI YA MAENDELEO

    January 20, 2023
  • KISHAPU YAADHIMISHA MIAKA 59 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUPANDA MITI

    January 12, 2023
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI TANZANIA AWATAKA VIONGOZI KUSIMAMIA WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA

    January 09, 2023
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa