• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022

OR-TAMISEMI IMETOA MWONGOZO KWA KIDATO CHA 5 KUBADILISHA SHULE, TAHASUS

Posted on: June 6th, 2022

KAIMU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Charles Msonde amesema wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwenye maeneo mbalimbali na wana changamoto za ugonjwa ama walikosea kujaza Selfom kwa kuandika maeneo ya kuishi tofauti na uhalisia kuwasilisha changamoto hizo kwa Makatibu Tawala wa Mikoa yao ili ziweze kutatuliwa.
Dkt. Msonde ameyasema hayo leo wakati akitoa taarifa ya maandalizi ya kufungua shule wa wanafunzi wa Kidato cha Tano Juni 13,222.

Amesema, kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Nchi-TAMISEMI, Mhe.Innocent Bashungwa mnamo Mei 13,2022 ya kuwapangia shule wanafunzi wa Kidato cha tano na vyuo Ofisi ya Rais-TAMISEMI imekuwa ikipokea maombi kutoka kwa wazazi ama wanafunzi wenyewe ya kubadilisha shule au tahasusi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ugonjwa, kukosea ujazaji wa Selform kwa kuonyesha maeneo ya kuishi tofauti na uhalisia.

“OR-TAMISEMI inasisitiza kwa wale wote wenye changamoto hizo waziwasilishe kwenye ofisi za Makatibu Tawala wa Mikoa ili zitatuliwe.

“Makatibu Tawala wa Mikoa wameshapatiwa mwongozo wa namna ya kushughulikia changamoto za uhamisho na ubadilishaji wa tahasusi ili wautumie kama rejea wakati wa kushughulikia changamoto mbalimbali za wazazi na wanafunzi,” amesema.

Pia amebainisha kuwa, wanafunzi walichaguliwa na kupangiwa shule kwa kuzingatia machaguo yao waliyopendekeza na ushindani miongoni mwao katika machaguo hayo pamoja na shule walizopendekeza.

Aidha, idadi ya wanafunzi waliopangiwa kwenye kila shule ilitegemea na nafasi zilizokuwepo katika kila shule ili kuepusha msongamano kwa wanafunzi darasani na mahali pakulala.

Pia amewataka wanafunzi hao kuhakikisha wanatipoti shuleni si zaidi ya wiki mbali tangu tarehe ya kufungua shule ambayo ni Juni 13,2022 kinyume na hapo nafasi hiyo itapewa mwanafunzi mwingine ambaye yuko kwenye orodha ya kusubiria.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • RATIBA YA UFANYAJI MAZOEZI KWA KILA WIKI August 16, 2021
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ATOA UFAFANUZI KUPANDA KWA BIDHAA

    June 14, 2022
  • BARRICK YA UNGA MKONO UTAMADUNI MKOA WA SHINYANGA

    June 08, 2022
  • TAMASHA LA UTAMADUNI MKOANI SHINYANGA LA ZINDULIWA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII.

    June 06, 2022
  • OR-TAMISEMI IMETOA MWONGOZO KWA KIDATO CHA 5 KUBADILISHA SHULE, TAHASUS

    June 06, 2022
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa