• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Fomu za kujinga na Kidato cha Tano
      • Shule ya Sekondari Kishapu
      • Shule ya Sekondari Shinyanga
    • Mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022
    • MATANGAZO
  • Madiwani

TIMU YA KARATA KISHAPU DC YA KABIDHI KOMBE KWA MKURUGENZI

Posted on: November 7th, 2022


Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Ndg. Emmanuel Johnson leo amepokea kombe la mabingwa wa mchezo wa  Karata walioshinda katika Mashindano ya Shirikikisho la Michezo kwa Serikali za mitaa (SHIMISEMITA) yaliyofanyika Mwaka huu katika Mkoa wa Morogoro


Akikabidhi  Kombe hilo leo tarehe 07 Novemba 2022  Afisa Utamaduni na Michezo wilaya ya Kishapu  Bi. Queen Mwajilala, Kwa mkurugenzi mtendaji alisema Mashindano yalianza tarehe  19-31 October 2022 huku  Kishapu DC ikiwa na timu tatu Volleyball, Handball na karata timu za Volleyball na Handball zilifanikiwa kutinga katika hatua ya Nusu Fainali huku timu ya mchezo wa karata ikifanikiwa kunyakuwa kikombe


Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Emmanuel Johnson amewapongeza sana wote walioshiriki Michezo hiyo na kuipatia Halmashauri ya Kishapu heshima ya kubeba ubingwa wa Karata


"Niwapongeze sana wale wote walioshiriki katika Michezo hii japo mpo wawakilishi matumaini yangu salamu hizi zitawafikia na washiriki wengine kikubwa mmeleta heshima kwenye Halmashauri yetu, niwakumbushe tu mwisho wa michezo ndiyo mwanzo wa maandalizi mengine jiandae kikamillifu kwa Michezo yote ikiwemo Football na Netball, Na mwakani ikiwezekana twende wengi zaidi" alisema

Viongozi wakikabidhi kombe kwa Mkurugenzi mtendaji 


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • RATIBA YA UFANYAJI MAZOEZI KWA KILA WIKI August 16, 2021
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • DC MKUDE ATEMBELEA MGODI WA MWADUI KUJIONEA HATUA ZILIZOCHUKULIWA BAADA YA BWAWA LA MAJI TOPE KUBOMOKA

    January 23, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI KISHAPU LAPITISHA MPANGO WA BAJETISH BILIONI 39.4 KWAAJILI YA MAENDELEO

    January 20, 2023
  • KISHAPU YAADHIMISHA MIAKA 59 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KWA KUPANDA MITI

    January 12, 2023
  • BALOZI WA PAMBA NCHINI TANZANIA AWATAKA VIONGOZI KUSIMAMIA WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA

    January 09, 2023
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa