• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango
      • Utawala
      • Biashara na Uwekezaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Maendeleo ya jamii
      • Ardhi
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Miundombinu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo na Mifugo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya picha na video za shughuli za maendeleo

Ardhi na Maliasili

Idara ya Ardhi imegawanyika katika sehemu nne (4) ambazo ni Uthamini, Mipango miji, Upimaji na ramani, na Ardhi utawala na usimamizi.

Majukumu ya Idara ya Ardhi.

Majukumu ya idara ya ardhi kwa kuzingatia sehemu ya uthamini, mipango miji, upimaji na ramani, ardhi utawala na usimamizi ni kama ifuatavyo:

Sehemu ya Uthamini.

Majukumu ya Idara ni;

  • Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi
  • Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye komputa
  • Kupokea maombi na kufanya uthamini wa ardhi, mazao,majengo na samani
  • Kukagua, kupima na kuoanisha thamani ya majengo na ardhi kwa ajili ya kumbukumbu
  • Kukadiria kodi ya ardhi

Sehemu ya Mipango miji.

Majukumu ya Idara ni;

  • Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela/ urasimishaji wa makazi holela
  • Kuandaa michoro ya mipango miji kwa maeneo ambayo hajaendelezwa
  • Kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji
  • Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi
  • Kupokea michoro ya mipango miji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kwa ajili ya uendelezaji.
  • Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi na umegaji wa viwanja
  • Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro

Sehemu ya Upimaji na Ramani.

Majukumu ya Idara ni;

  •  Upimaji wa viwanja na mashamba.
  •  Kuonyesha mipaka ya viwanja na mashamba. 
  •  Kutatua migogoro ya ardhi na  kutoa elimu ya ardhi kwa wananchi.

Sehemu ya Ardhi Utawala na Usimamizi.

Majukumu ya Idara ni;

  • Kupokea maombi yanayohusu Hati miliki na kutunza usajili wa maombi husika
  • Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria
  • Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa miliki za viwanja visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria
  • Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi
  • Kutoa ushauri na mapendekezo ya ugawaji wa viwanja na mashamba
  • Kufanya ukaguzi wa viwanja

.

Matangazo

  • TAARIFA YA MTIRIRIKO WA FEDHA KWA KIPINDI KILICHOISHIA TAREHE 30 JUNE. 2022 August 14, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI November 03, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili September 20, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    November 21, 2025
  • WATUMISHI KISHAPU WAPEWA MAFUNZO YA ELIMU YA FEDHA NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI

    November 20, 2025
  • DC,DED NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISHAPU WAUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO KISHAPU WAONYWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    October 27, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa