Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Mhe.Peter N. Masindi
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Peter N. Masindi, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bw. Emmanuel J. Matinyi, pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kishapu, Joseph S. Swalala, wameshiriki kikamilifu katika zoezi la upigaji kura la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.







Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Bw.Emmanuel J.Matinyi






Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kishapu Joseph S. Swalala



Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa