UTANGULIZI.
Idara ya Afya inatekeleza majukumu yake kwa kufuata miongozo inayotolewa na Wizara ya afya. Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu ina hospitali mbili ya wilaya (DK. Jakaya Kikwete) na Mwadui inayomilikiwa na mgodi. Pia ina vituo vya afya vinne (4) na zahanati 53.
MAJUKUMU YA IDARA.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu: +255282770020
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa