Friday 26th, April 2024
@Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuingia mkoani Shinyanga tarehe 10 Julai, 2017 na kukimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kuzindua miradi ya maendeleo na kukesha kabla ya kukabidhiwa kwa wilaya nyingine.
Watumishi na wananchi wote mnakarabishwa kushiriki kuanzia maandalizi hadi kilele chake.
Halmashauri ya Wilaya Kishapu
Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU
Simu ya mezani: +255282770020
Simu:
Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz
Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa