• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango
      • Utawala
      • Biashara na Uwekezaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Maendeleo ya jamii
      • Ardhi
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Miundombinu
      • Maji
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Tehama
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo na Mifugo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya picha na video za shughuli za maendeleo

Tehama

SHUGHULI ZA KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA).

  • Kuhakikisha mifumo ya teknolojia ya habari inafanya kazi.
  • Kushughulikia mfumo wa ukusanyaji mapato(Local Government Revenue Collection Ingformation System).Mfumo huu utumika katika shughuli za ukusanya wa ushuru na tozo mbalimbali za Halmashauri kwa Mujibu wa sheria.
  • Kushughulikia mfumo wa malipo(Epicor).Mfumo huu hutumika katika kuandaa na kutoa malipo.
  • Kushughulikia mfumo wa kuandaa mpango wa bajeti (Planning and Reporting). Mfumo huu hutumiwa na Halmashauri  wakati wa kuandaa bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa.
  • Kushughulikia mifumo ya CDR na CFR. Hii ni mifumo inayotumika kutolea taarifa za miradi ya maendeleo katika ngazi za Mamlaka ya Serikali za Mitaa.
  • Kushughulikia mfumo wa taarifa za kiutumishi (HCMIS maarufu kama LAWSON). Huu ni mfumo unaotumika katika mishahara. Kwa kutumia mfumo huu, serikali imeondoa tatizo la mishahara hewa na kuchelewa kwa stahiki za watumishi.
  • Kushughulikia mfumo wa taarifa za hospitali (Hospital Management Information System- GoT HOMIS). Mfumo huu hutumiwa na hospitali kwa ajili ya kutunza taarifa  mbalimbali za hospitali. Mfano; taarifa za wagonjwa, malipo, dawa na mengineyo. Kwa sasa mfumo huu umefungwa hospitali ya mji wa Kahama na kituo cha afya Mwenakulima. Maboresho yanaendelea ili uweze kufungwa katika Vituo na Zahanati zote za Halmashauri ya Miji.


Matangazo

  • TAARIFA YA MTIRIRIKO WA FEDHA KWA KIPINDI KILICHOISHIA TAREHE 30 JUNE. 2022 August 14, 2023
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI November 03, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MFAMASIA December 14, 2021
  • Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili September 20, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    November 21, 2025
  • WATUMISHI KISHAPU WAPEWA MAFUNZO YA ELIMU YA FEDHA NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI

    November 20, 2025
  • DC,DED NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA KISHAPU WAUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA

    October 29, 2025
  • WASIMAMIZI WA VITUO KISHAPU WAONYWA KUTOKUWA CHANZO CHA MIGOGORO

    October 27, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa