• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Utawala
      • Biashara, Viwanda na Uwekezaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya jamii
      • Afya
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Tehama
      • Utamaduni, Sanaa na Michezo
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Usafi wa Mazingira na Udhibiti Taka
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Kilimo na Mifugo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya picha na video za shughuli za maendeleo

KAMATI YA FUM KISHAPU YAKAGUA MIRADI YA ZAIDI YA TSH. B. 1.2

Posted on: January 15th, 2026

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Enock Reuben Bundala na Diwani wa Kata ya Masanga (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Emmanuel Johnson Matinyi (kushoto) kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani humo Januari 14-15,2025

Kamati ya Kudumu ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo yenye zaidi ya Tsh. Bil. 1.2.

 Ziara hiyo iliyohusisha baadhi ya Madiwani na Menejimenti imefanyika mnamo Januari,14-15, 2026 Kata ya Kishapu,Lagana,Talaga,Maganzo,Songwa,Mondo na Sekebugoro huku ikikagua jumla ya miradi tisa.

Tazama picha za miradi mbalimbali


Ujenzi wa Madarasa 2 ya Awali na Matundu 6 ya Choo – Shule ya Msingi Isoso wenye thamani ya Tsh 71,800,000 chanzo cha fedha ni mradi wa Boost

Ujenzi wa Vyumba 6 vya Madarasa, Jengo la Utawala na Vyoo – Shule ya Sekondari Isoso wenye thamani ya Tsh 342,900,000 chanzo cha fedha ni mradi wa Boost

Ujenzi wa Kituo cha Afya Lagana (OPD na Maabara) wenye thamani ya Tsh 250,000,000 chanzo cha fedha ni kutoka serikali kuu

Ujenzi wa Vyumba 2 vya Madarasa na Matundu 6 ya Choo – Shule ya Msingi Nhobola wenye thamani ya Tsh 66,200,000 chanzo cha fedha ni mradi wa Boost

Ujenzi wa Vizimba 200 – Soko la Maganzo  mradi unaotekelezwa kwa fedha za CSR ya Mgodi wa Almas Mwadui WDL wenye thamani ya Tsh 260,000,000

Ujenzi wa Matundu 5 ya Choo –soko la Maganzo fedha za CSR kutoka Mgodi wa Almas Mwadui WDL wenye thamani ya Tsh 20,000,000

Ujenzi wa Ofisi ya Kijiji cha Songwa kwa fedha za CSR kutoka Mgodi wa Almas Mwadui ( WDL) wenye thamani ya Tsh 47,000,000Ujenzi wa Vyumba 2 vya Madarasa – Shule ya Msingi Buchambi  fedha za CSR wenye thamani ya Tsh 48,000,000

Ujenzi wa Zahanati ya Seke Ididi wenye thamani ya Tsh 101,989,971 chanzo cha fedha kikiwa ni CSR kutoka kampuni ya ujenzi ya CCECC


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI December 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 21, 2025
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • SHINYANGA YAJIPIMA UTEKELEZAJI MKATABA WA LISHE NA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 16, 2026
  • KAMATI YA FUM KISHAPU YAKAGUA MIRADI YA ZAIDI YA TSH. B. 1.2

    January 15, 2026
  • RC MHITA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KISHAPU.

    January 10, 2026
  • RC MHITA AWATAKA MADIWANI KISHAPU KUDUMISHA USHIRIKIANO NA MSHIKAMANO - NGUZO KUFANIKISHA MIPANGO YA MAENDELEO.

    December 19, 2025
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu: +255282770020

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa