• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii

Planing and Statistics

Ina watumishi 6 kama inavyooneshwa hapo chini;-

Namba
Wadhifa
Idadi ya Watumishi
1
Mchumi wa Wilaya
1
2
Wachumi
4
3
Mtakwimu
1

 

Lengo.

Kuwa na mipango imara, kutekeleza miradi kwa ufanisi kwa kushirikiana na wananchi ili kuletea wananchi wa Kishapu na Taifa maendeleo.

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulika na;-

Kubuni vyanzo vya Mapato vya Halmashauri.

Kuratibu uandaaji wa Mpango kazi na Mpango mkakati wa Halmashauri.

Kufuatilia utekelezaji wa Mpango kazi wa Halmashauri.

Kuandaa/kuhuisha wasifu wa kiuchumi na uwekezaji wa Halmashauri.

Kukusanya, kuchakata na kutunza Takwimu za Halmashauri.

Kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa shughuli za Maendeleo za Halmashauri.

Kuandaa maandiko ya miradi na kutafuta wadhamini/wafadhili kwa ajili ya utekelezaji.

Uratibu na utayarishaji wa Mpango na Bajeti ya Halmashauri kila mwaka.

Kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN).

Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na taarifa za utekelezaji wa maagizo kutoka mamlaka za juu za serikali.

Kusimamia utekelezaji wa Fursa, uibuaji na vikwazo vya maendeleo (O & OD).

Kushauri matumizi sahihi ya fedha za Halmashauri.

Matangazo

  • Tangazo la kazi kada ya Afya December 12, 2018
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili nafasi ya watendaji May 10, 2018
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali Kusherekea Siku ya Wanawake Duniani

    March 08, 2021
  • Bilioni 2.8 Kumtua Mama Ndoo Kichwani Kishapu

    March 03, 2021
  • TCRS yatoa taarifa ya Upembuzi ya Ufuatiliaji Rasilimali za Umma (PETS) katika Sekta ya Maji.

    February 25, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kupitisha Bajeti ya zaidi ya Bilioni 39

    February 24, 2021
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa