• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kishapu District Council
Kishapu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
    • Idara
      • Fedha
      • Rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii

Ufugaji Nyuki

Kitengo cha Ufugaji Nyuki kina jukumu la kusimamia na kuhakikisha mazao ya nyuki yanazalishwa kwa tija na kuwa njia mbadala ya kuongeza kipato na kukuza uchumi kwa wananchi baada ya shughuli zitokanazo na kilimo.

Ufugaji Nyuki ulikuwa ukifanyika kwa baadhi ya kaya kwa sababu maalumu na warina asali walikuwa na taratibu za kutafuta asali katika mapango na misitu ambako makundi ya nyuki yalipatikana kwa urahisi.

Ufinyu wa ardhi, kupanuka kwa shughuli za kilimo na makazi kulichangia kuhamisha na kupunguza mtawanyiko sawia wa makundi ya nyuki katika maeneo mbalimbali wilayani. Changamoto hii na umuhimu wa mazao ya Nyuki imepelekea kitengo cha ufugaji Nyuki kwa kushirikiana na wadau wengine kuhamasisha ufugaji na hasa kwa kutumia mbinu ya inayosisitiza ufugaji wa makundi mengi katika eneo dogo ili kukabiliana na changamoto ya ufinyu wa ardhi.

Kuhamasisha wananchi juu ya Ufugaji wa kisasa wa Nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa, ufugaji wa nyuki kwa kutumia teknologia ya Nyumba (Bee house Technology) na uundwaji wa vikundi vya ufugaji nyuki.

Hadi sasa kuna vikundi na watu binafsi wapatao 61 wanaojishughulisha na Ufugaji wa nyuki, kati ya hao kuna vikundi 10 na watu binafsi 11 ambao tayari wana mizinga na maeneo ya kufugia. Idadi ya mizinga iliyopo kwa sasa ni mizinga 755 katika maeneo mbalimbali ya Wilaya.

vikundi na watu binafsi wanaojishughulisha na ufugaji wa nyuki wameweza kuvuna jumla ya kilo 1174 yenye thamani ya Tshs 11,740,000/= kwa bei ya Tshs 10,000 kwa kilo moja ya asali.

Wilaya kwa kushirikiana na wadau wa Mazingira na Ufugaji nyuki imefanikiwa kuhamasisha ufugaji wa Nyuki kwa kutumia teknologia ya nyumba katika Vijjiji vya Mwamashele, Inolelo, Miyuguyu, Nyasamba na Mipa. Mpaka sasa kuna Nyumba mbili (Bee house) za kufugia nyuki ambazo zimeanzishwa katika kijiji cha Mipa eneo la Mission yenye mizinga 100 ambayo imefadhiliwa na TaFF (Tanzania Forest Fund) na manzuki ya mfano katika kijiji cha Mwamashele yenye mizinga 4 ambayo imetolewa na Halmashauri ya Wilaya.

Matangazo

  • Tangazo la kazi kada ya Afya December 12, 2018
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili nafasi ya watendaji May 10, 2018
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali Kusherekea Siku ya Wanawake Duniani

    March 08, 2021
  • Bilioni 2.8 Kumtua Mama Ndoo Kichwani Kishapu

    March 03, 2021
  • TCRS yatoa taarifa ya Upembuzi ya Ufuatiliaji Rasilimali za Umma (PETS) katika Sekta ya Maji.

    February 25, 2021
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kupitisha Bajeti ya zaidi ya Bilioni 39

    February 24, 2021
  • Tazama yote

Video

EGA ANNOUNCIMENT
Video zaidi

Viunganishi cha Haraka

  • fomu mbalimbali
  • Dira na Dhima ya Halmashauri

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Kuu ya Serikali
  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Utumishi
  • Tovuti ya OR-TAMISEMI
  • Tovuti ya Ofisi ya Takwimu
  • Tovuti ya Idara ya Habari Maelezo

Watazamaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Mwonekano wa Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kishapu

    Anwani ya Posta: S.L.P. 1288 KISHAPU

    Simu ya mezani: +255282770020

    Simu:

    Barua pepe: info@kishapudc.go.tz/ded.kishapudc@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hakimiliki © 2016 Halmashauri ya wilaya ya Kishapu. Haki zote zimehifadhiwa